Toa mchango kwa Psiphon

Saidia Psiphon,
Saidia kila mtu!

Tunasaidia mamilioni ya watu duniani kote kupata mtandao bila malipo. Juhudi hizi zinagharimu pesa nyingi kila mwezi, na tunahitaji msaada wako ili kudumisha uhuru wa intaneti kwa uharaka na ufanisi.